Fungwa Kilozo Fungwa Kilozo Author
Title: DIAMOND PLATNUMZ AWAOMBA RADHI MASHABIKI WA WASHINGTON DC BAADA YA SHOW YAKE KUSHINDWA KUMALIZIKA
Author: Fungwa Kilozo
Rating 5 of 5 Des:
Mkali wa Bongo Fleva, Mshiriki wa tunzo za BET katika kipengele cha   Msanii Bora wa Kimataifa tok...
Mkali wa Bongo Fleva, Mshiriki wa tunzo za BET katika kipengele cha  Msanii Bora wa Kimataifa toka Africa na Hit Maker wa wimbo wa "Make me Sing" Diamond Platnumz ameweza kuonesha kuumizwa kwa kushindwa kumaliza kuperfom katika show yake iliyofanyika Nchini Marekani.
Diamond Platnumz
Mkali huyo wa Bongo Fleva amesema imemsikitisha sana lakini ilikuwa hakuna namna kwani ni sababu zilizokuwa nje ya uwezo wake.

Kikubwa kulicho msikitisha ni kwamba hakuweza kupafomu nyimbo zake kali kama "Nasema nawe", "Nana", "Number One Remx", "Mdogo mdogo", "Make me Sing", "Bado", "Kigoma" na "Zigo Remix"

Amesema alipanga kutumbuiza nyimbo 27 lakini aliweza kuimba nyimbo 19 tu na wimbo wa Mwisho ulikuwa ni "Utanipenda"

Mtazame hapa akifunguka:

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top