Fungwa Kilozo Fungwa Kilozo Author
Title: BAADA YA SKENDO YA KUIBIWA NYIMBO, BLUE KAJA NA ALIKIBA KATIKA WIMBO HUU HAPA
Author: Fungwa Kilozo
Rating 5 of 5 Des:
Mr Blue alitumia Acount yake ya Instgram kufikisha ujumbe huo kwa mashabiki wake na kuwaambia kazi ...
Mr Blue alitumia Acount yake ya Instgram kufikisha ujumbe huo kwa mashabiki wake na kuwaambia kazi ambayo amefanya na msanii Alikiba kwa producer Man Water ‘Combination Sound’ imekamilika na sasa ipo mikononi mwake.
Mr Blue
“Nataka kuwaambia kuwa nawapenda sana ila nataka muachane na skendo ambazo zipo kwenye vyombo vya habari, Mr Blue sasa nakuja na mambo mazuri yanakuja”

Wiki kadhaa Mr Blue alisema kuwa wimbo wake mpya anaotegemea kuachia amefanya na Alikiba na leo amethibitisha kwa wimbo huo kukamilika na kusema muda wowote kuanzia sasa anauachia na huo ndiyo utakuwa ujio wake mpya.

About Author

Advertisement

 
Top