Fungwa Kilozo Fungwa Kilozo Author
Title: WATU 4 WAFARIKI KWA KUFUKIWA NA KIFUSI LEO KAWE - DAR ES SALAAM
Author: Fungwa Kilozo
Rating 5 of 5 Des:
Watu wanne wamepoteza maisha na wengine watano wajeruhiwa baada ya kufukiwa na kifusi asubuhi hi...
Kawe – Dar
Watu wanne wamepoteza maisha na wengine watano wajeruhiwa baada ya kufukiwa na kifusi asubuhi hii eneo la Ukwamani, Kawe – Dar.
Taarifa za awali zinasema waliofariki ni mfanyakazi wa ndani, watoto wawili na baba mwenye nyumba.

About Author

Advertisement

 
Top