Fungwa Kilozo Fungwa Kilozo Author
Title: THOMAS ULIMWENGU (RAMBO) AIPA USHINDI TP MAZEMBE AKITOKEA BENCHI
Author: Fungwa Kilozo
Rating 5 of 5 Des:
"Rambo" ni jina ambalo watu wanamuita mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania Thomas U...
Thomas Ulimwengu
"Rambo" ni jina ambalo watu wanamuita mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania Thomas Ulimwengu anayekipiga klabu ya TP Mazembe ya DRCUlimwengu ameendelea kufanya vema akiwa na timu yake hiyo baada ya jana kufunga bao katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Shark XI FC.

Mchezo huo ulikuwa wa Ligi Kuu ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo uliofanyika Uwanja wa Martys mjini Kinshasa, Ulimwengu alifunga bao hilo dakika ya 68 baada ya kuingia kuchukua nafasi ya Rogger Asale dakika ya 57.

About Author

Advertisement

 
Top