Fungwa Kilozo Fungwa Kilozo Author
Title: TANZIA:: MBUNGE VITI MAALUM (CHADEMA) MH. CHRISTINA LISSU MUGHWAI AFARIKI DUNIA
Author: Fungwa Kilozo
Rating 5 of 5 Des:
Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum (CHADEMA), Mhe. Christina Lissu Mughwai (ambaye ni dada wa Tundu...
Christina Lissu Mughwai
Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum (CHADEMA), Mhe. Christina Lissu Mughwai (ambaye ni dada wa Tundu Lissu) amefariki dunia Leo katika hospitali ya Aga Khan jijini Dar es salaam. 
Marehemu alikuwa anasumbuliwa na maradhi ya saratani tangu mwaka jana, na alikuwa mbunge katika bunge la 10.

About Author

Advertisement

 
Top