Fungwa Kilozo Fungwa Kilozo Author
Title: SHILOLE AKIMBIZWA HOSPITALI MARA BAADA YA KUMKUTA HAYA...!!! BABA LEVO AFUNGUKAKILICHOTOKEA
Author: Fungwa Kilozo
Rating 5 of 5 Des:
Muimbaji wa ‘Nakomaa na Jiji’ Shilole amelazwa hospitali baada ya kuzidiwa usiku wa jana. Bab...
Muimbaji wa ‘Nakomaa na Jiji’ Shilole amelazwa hospitali baada ya kuzidiwa usiku wa jana.
Shilole

Babalevo ambaye yupo katika hospitali aliyolazwa muimbaji huyo iliyopo Kinondoni, amedai kuwa usiku wa jana alichemka kiasi cha kukosa nguvu na kulazimika kupelekwa hospitali.
Babalevo akiwa na Shilole hospitali
Aliwekewa drip kushusha homa hiyo na madaktari wamemshauri apate muda wa kupumzika zaidi. Babalevo amesema Shilole ambaye siku za hivi karibuni amekuwa akifanya mazoezi makali ya mwili anaendelea vizuri.

Get well soon Shishi.

About Author

Advertisement

 
Top