Fungwa Kilozo Fungwa Kilozo Author
Title: RAIS MAGUFULI AMETENGUA TENA UTEUZI WA MTENDAJI MWINGINE WA SERIKALI
Author: Fungwa Kilozo
Rating 5 of 5 Des:
April 14 2016 imetolewa taarifa kutoka Ikulu na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Mhandisi John Kijazi ...
John Pombe Magufuli
April 14 2016 imetolewa taarifa kutoka Ikulu na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Mhandisi John Kijazi ikieleza kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mhariri mtendaji wa magazeti ya serikali ‘TSN’, Gabriel Nderumaki.

Rais Magufuli ametengua uteuzi huo kuanzia March 18 2016, kufuatia kutenguliwa kwa uteuzi huo, Rais Magufuli amemteua Tuma Abdallah kukaimu nafasi hiyo ambapo Tuma Abdallah ni Mhariri Mtendaji Msaidizi wa Magazeti ya Serikali ‘TSN’.
BARUA

About Author

Advertisement

 
Top