Fungwa Kilozo Fungwa Kilozo Author
Title: NICK MINAJ AWAKUBALI "GETHO BOYS" WA UGANDA NA KAANDIKA HICHI KWENYE UKURASA WAKE WA FACEBOOK
Author: Fungwa Kilozo
Rating 5 of 5 Des:
Rapper Nick Minaj ameonyesha hisia zake baada ya kuona video ya watoto wa Uganda ‘Getho kids’ wa...
Nick Minaj
Rapper Nick Minaj ameonyesha hisia zake baada ya kuona video ya watoto wa Uganda ‘Getho kids’ wakicheza wimbo Justin Bieber ‘Sorry’.

‘Getho kids’ wamekuwa maarufu sana baada ya kucheza katika Video za msanii Eddy Kenzo ya Sitya Los

“They are so amazing,” Nick Minaj ameandika kwenye ukurasa wake wa Facebook wenye followers zaidi ya Million 42.

About Author

Advertisement

 
Top