Fungwa Kilozo Fungwa Kilozo Author
Title: MWENYEKITI WA CHADEMA IRINGA APATA AJALI ENEO LA TANANGOZI NA KUFARIKI USIKU HUU
Author: Fungwa Kilozo
Rating 5 of 5 Des:
Lucas Sinkala Mwenda (   kushoto),  wakati wa uhai wake akiwana  Grace Tendega na Mussa Mdede...
Lucas Sinkala
Lucas Sinkala
Lucas Sinkala Mwenda ( kushoto), wakati wa uhai wake akiwana Grace Tendega na Mussa Mdede

Sinkala Mwenda alikua Mwanasheria Kijana Msomi wa CHADEMA. Mwenda alikuwa mgombea kwenye kinyang’anyiro cha uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kalenga 2014 ambaye aliwashinda wagombea wengine 12 katika kura za maoni ndani ya chama, alipokwa ushindi na chama hicho na kikamteua mshindi wa pili Grace Tendega kupeperusha bendera katika uchaguzi mdogo huo.

Hadi anakutwa na Mauti Sinkala alikuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Iringa Vijijini.

About Author

Advertisement

 
Top