Fungwa Kilozo Fungwa Kilozo Author
Title: MWANAMUZIKI MKONGWE WA KONGO, PAPA WEMBA AFARIKI DUNIA
Author: Fungwa Kilozo
Rating 5 of 5 Des:
Mwanamuziki mkongwe wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, Papa Wemba amefariki Jumapili hii. Mu...
Papa Wemba
Mwanamuziki mkongwe wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, Papa Wemba amefariki Jumapili hii.
Muimbaji huyo maarufu amefariki akiwa Abidjan, Ivory Coast baada ua kuugua. Alikuwa yupo nchini humo kutumbuiza kwenye tamasha la muziki la Anoumabo (FEMUA).

Redio ya Kongo, Radio Okapi imetangaza taarifa za kifo chake.

Amefariki akiwa na umri wa miaka 66.

HIVI NDIVYO ILIVYO KUWA

About Author

Advertisement

 
Top