Fungwa Kilozo Fungwa Kilozo Author
Title: MSIBA: MSANII WA BONGO MUVI AFARIKI DUNIA...MAMA WA MAREHEMU AFUNGUKA MAZITO.!
Author: Fungwa Kilozo
Rating 5 of 5 Des:
Ni simanzi! Nyota ya msanii Leila Gabriel ‘Lissa’ ambayo ndiyo kwanza ilikuwa imeanza kuchomoza kw...
Ni simanzi! Nyota ya msanii Leila Gabriel ‘Lissa’ ambayo ndiyo kwanza ilikuwa imeanza kuchomoza kwenye tasnia ya filamu za Kibongo, ilizimika ghafla mwishoni mwa wiki iliyopita baada ya msanii huyo kupoteza maisha muda mfupi baada ya kujifungua kwenye Hospitali ya St. Benard, Kariakoo jijini Dar es Salaam.
Leila Gabriel ‘Lissa’
Mama wa Marehemu afunguka mazito kuhusu kifo cha mwanaye. Simulizi ya kifo chake inasikitisha sana!
“Inauma sana, mwanangu amefariki kwa maumivu maana shida ilikuwa ni ambulance, kama ingepatikana kwa wakati naamini angepona lakini ndiyo hivyo tena, kazi ya Mungu haina makosa,” alisema mama huyo kwa uchungu huku akitokwa machozi.
Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi. Amina!

About Author

Advertisement

 
Top