Fungwa Kilozo Fungwa Kilozo Author
Title: MANNY PACQUIAO ASTAAFU MCHEZO WA NGUMI KWA USHINDI (+Picha)
Author: Fungwa Kilozo
Rating 5 of 5 Des:
Kwa Mujibu wa wakala wake wa muda mrefu, Bob Arum , amebainisha kwamba Manny Pacquiao – ambaye an...
Manny Pacquiao
Kwa Mujibu wa wakala wake wa muda mrefu, Bob Arum , amebainisha kwamba Manny Pacquiao – ambaye ana umri wa miaka 21 katika biashara ya Masumbwi- amestaafu baada ya pambano lake la mwisho , ambalo limefanyika Usiku wa Jana Aprili 9, 2016 dhidi ya mpinzani wake Timothy Bradley.

“Mimi ninawaambieni kile yeye aliniambia wiki iliyopita katika chakula cha jioni Mjini New York. aliyasema kwa umakini sana, , ‘ Bob , natumai katikati ya Mei nami nimechaguliwa kuwa Seneta, na kwa hivyo siwezi kujiingiza katika ndondi kwa sababu nahitaji kuwa na mahudhurio mazuri katika vikao vyangu. ‘ Manny aliniambia pambano lake la Aprili 9 litakuwa pambano lake la mwisho. “

KATIKA PAMBANO LAKE LA MWISHO JANAKitendawili cha kustaafu kwa mwana masumbwi wa Ngumi za uzito wa juu Manny Pacquiao kimeteguliwa na bondia kutoka England Timothy Bradly Jr.baada ya kumshinda kwa alama(point) 116 kwa 110 kwa majaji wote watatu katika pambano hilo

Manny Pacquiao ambae alipigwa na Floyd Mywether kwa alama 2014 ambapo ushindi huo ulikosolewa na wengi walio tazama na baadhi ya mabondia akiwemo Mike Tyson.usiku wa kuamkia juma pili ali mpiga mwingereza Timothy Bladly Jr hii mara ya tatu wanakutana na Pacquiao kumchapa zote.

MALENGO YA PACQUIAO
Kabla ya pambano alisema kuwa itakuwa pambano lake la mwisho ili awahudumie wananchi wa Philipino kwa maana dhahiri anaenda kugombania uongozi katika siasa na haswa aliwahi kukaririwa kuwa ataomba kuchaguliwa kuwa mbunge moja ya majimbo nchini humo.

KAMALIZAJE?Kimsingi amemaliza vizuri yaani mwisho wake mzuri kwa rekodi ya kushinda na kuachana na Masumbwi kila mmoja kwa hakika anapenda amalize mwisho ulio kuwa salama na huenda kama angeshinda pambano dhidi ya Mywether ange staafu kwa furaha sana lakini haikuwezekana.

Baadhi Picha za Mchezo wa Mwisho jana:
Manny Pacquiao Vs Timothy Bradley
Manny Pacquiao Vs Timothy Bradley
Manny Pacquiao Vs Timothy Bradley
Manny Pacquiao Vs Timothy Bradley
Manny Pacquiao Vs Timothy Bradley

Hapo Chini ni jedwali la Pointi ‘scorecard’ kwenye pambano la Pacquiao vs Bradley III,
scorecard
Ukiachilia mbali pambano hilo lilifanyika usiku wa jana katika ukumbi wa MGM Grand Garden Arena nchini Marekani, hii ni mara ya pili mfululizo kwa Bondia Timothy Bradley kupigwa na Manny Pacquiao.

About Author

Advertisement

 
Top