Fungwa Kilozo Fungwa Kilozo Author
Title: KIMENUKA KUNDI LA MAFIKIZOLO HUKO INSTAGRAMUNI KISA COLLABO YAO NA DIAMOND PLATNUMZ
Author: Fungwa Kilozo
Rating 5 of 5 Des:
Member wa kundi la Mafikizolo Theo Mafikizolo amejikuta akiwekwa mtu kati na mashabiki wanaodai kuw...
Member wa kundi la Mafikizolo Theo Mafikizolo amejikuta akiwekwa mtu kati na mashabiki wanaodai kuwa amekuwa ‘mswahili’ mno kwa kuahidi kila siku kuwa video ya collabo yao na Diamond ‘Colors of Africa’ inatoka soon.
Mafikizolo na Diamond Platnumz
Theo amepost picha ya kuchorwa inayowaonesha Michael Jackson na Chris Brown wakicheza kikapu na kaundika: Finally the most anticipated Music Video COLORS OF AFRICA by MAFIKIZOLO ft DIAMONDPLATNUMZ and DJ MAPHORISA is COMING OUT THIS MONTH – WE CANT WAIT.”

Lakini mashabiki wake wamemuambia kuwa wamechoka na ahadi zake na hivyo kumbidi kujaribu kuelezea hilo na maana ya picha aliyoweka, hadi dukuduku lake kuonekana wazi kuwa anahisi wenzake kama hawaoneshi kujali sana kazi hiyo.
Theo Mafikizolo
Tazama majibu yake:
Theomafikizolo: My team is so quite seems like I’m too excited about this music video can’t keep it to myself,guys y are you not saying anything @nhlanhla_nciza @diamondplatnumz @mtvbaseafrica Singing “Mina Wewe,Africa get Down.
Member mwanzake, Nhlanhla_nciza alijibu: 
Just confused about the pic @theomafikizolo that’s all
Theomafikizolo: You don’t get it ? Mafikizolo- Michael JacksonTheomafikizolo, Diamondplatnumz – Chris Brown. Michael and Chris the most talented and the best of their times doing a song together. Mafikizolo and Diamondplatnumz in one song,amazing stuff. Well I guess I’m on my own,maybe the pic didn’t work, just trying to be creative.
Haya acha tusubiri.

About Author

Advertisement

 
Top