Fungwa Kilozo Fungwa Kilozo Author
Title: KAZI YA KWANZA YA RAIS MAGUFULI NCHINI RWANDA IMEKAMILIKA (+PICHA)
Author: Fungwa Kilozo
Rating 5 of 5 Des:
Marais Kagame na Magufuli wakifungua kituo cha mpakani Rusumo baada ya Rais Magufuli kuwasili mpa...
Marais Kagame na Magufuli
Marais Kagame na Magufuli wakifungua kituo cha mpakani Rusumo baada ya Rais Magufuli kuwasili mpakani na kukaribishwa kwa nyimbo za mataifa mawili ya Tanzania na Rwanda.
Marais Kagame na Magufuli
Rais Dkt. John Magufuli akiwa nchini Rwanda akiwa pamoja na Mwenyeji wake rais wa nchi hiyo Paul Kagame wanatarajia pia kufungua daraja la kimataifa la Rusumo.
Marais Kagame na Magufuli
Baada ya Uzinduzi huu viongozi hao wawili watakwenda Jijini Kigali ambako watakuwa na mazungumzo muhimu pamoja na kuweka shada la maua ya kumbukumbu ya mauaji ya Kimbari yaliyotokea mwaka 1994 nchini humo.
Marais Kagame na Magufuli
Marais Kagame na Magufuli

About Author

Advertisement

 
Top