Fungwa Kilozo Fungwa Kilozo Author
Title: JERRY MURRO AAMUA KUKABA MLANGONI KUTHIBITI MAPATO DHIDI YA AL AHLY SC
Author: Fungwa Kilozo
Rating 5 of 5 Des:
Hatimae Ofisa Habari wa Club ya Yanga Jerry Murro ameamua kuweka kambi langoni ili kudhibiti ulagh...
Hatimae Ofisa Habari wa Club ya Yanga Jerry Murro ameamua kuweka kambi langoni ili kudhibiti ulaghai wa Mapato yanayofanywa na waliopewa zamana.
Jerry Murro
Akiongea na Lindiyetu.com suala la Ulaghai wa walinzi wa Mlangoni katika mashindano tofauti ya Mpira wa Miguu uwanja wa Taifa amesema kuwa watu wa Mlangoni huwa wanafanya udanganyifu mkubwa hivyo imepelekea wao kukaa Mlangoni ilikuangalia jinsi mambo yanavyokwenda.

Msikilize hapa akiongelea suala hilo:

About Author

Advertisement

 
Top