Fungwa Kilozo Fungwa Kilozo Author
Title: JE ULIPITWA NA NDOA YA MSANII MR. BLUE, NIMEKUSOGEZEA PICHA HAPA
Author: Fungwa Kilozo
Rating 5 of 5 Des:
Tunampongeza supastaa wa Bongo Flava Mr Blue kwa kufunga ndoa na baby mama wake Waheeda, ambaye am...
Tunampongeza supastaa wa Bongo Flava Mr Blue kwa kufunga ndoa na baby mama wake Waheeda, ambaye amezaa naye watoto wawili. Blue amefunga ndoa Jana April 14 2016 kimya kimya na inasemekana kwamba waliohudhuria ni ndugu na marafiki wachache wa karibu.
Ndoa ya Mr Blue 
Ndoa ya Mr Blue 
Ndoa ya Mr Blue 
Ndoa ya Mr Blue
Ndoa ya Mr Blue
Tunawatakia ndoa yenye furaha na amani!

About Author

Advertisement

 
Top