Fungwa Kilozo Fungwa Kilozo Author
Title: JE.. JOSE MOURIHNO ANAWEZA KUKUBALI OFA YA CLUB HII KUBWA NA KUIKACHA MAN UNITED?
Author: Fungwa Kilozo
Rating 5 of 5 Des:
Wakala Jorge Mendes ambaye ana msimamia kocha Jose Mourinho amepokea ofa ya kocha huyo kutakiwa kw...
Wakala Jorge Mendes ambaye ana msimamia kocha Jose Mourinho amepokea ofa ya kocha huyo kutakiwa kwenye Klabu ya PSG kuchukua hatamu wakati Laurent Blanc atakapo oneshwa mlango wa kutokea mwishoni mwa msimu.
Jose Mourinho
ANAWEZA KWENDA?
Mourinho anaweza kwenda PSG? huyu kocha ni mtu wa kuangalia ‘Timing’ kwa sasa CV yake imefifia kwasababu Ligi ya France haina ugumu sana ni ligi ya tano miongoni mwa zile ligi tano bora kwa falsafa zake anaweza kwenda na kuchukua ubingwa anatengeneza sifa yake tena ili arudi sehemu anapo pataka.

Kocha Laurenc Blank ambaye anaifunza PSG hatakiwi tangu msimu ulio pita uongozi wa PSG ulijaribu kumshawishi Wenger lakini walishindwa mwaka huu hawawezi kushindwa kuchukua kocha wa kuwango cha dunia.
Laurent Blanc

About Author

Advertisement

 
Top