Fungwa Kilozo Fungwa Kilozo Author
Title: HII HAPA TAARIFA MPYA YA MSANII ALI KIBA KUKIMBILIA KWENYE SOKA (+Audio)
Author: Fungwa Kilozo
Rating 5 of 5 Des:
Mjini unaweza kuishi vizuri kama ukiwa na vipaji au fani mbalimbali Msanii wa Bongo Flava Ali Kiba...
Mjini unaweza kuishi vizuri kama ukiwa na vipaji au fani mbalimbali Msanii wa Bongo Flava Ali Kiba ana kipaji kingine tofauti na Muziki pia ni mchezaji mzuri wa mpira wa miguu katika nafasi ya ushambuliaji.
 Ali Kiba

Amesema kuwa kuna timu zinamuhitaji ili aweze kuzichezea timu hizo, ametanabaisha hayo kupitia East Africa Radio kuwa yuko tayari lakini kwa maslahi maalumu maana atakae msajili kutakuwa na biashara ya jezi ambapo mashabiki wa Timu husika lazima watanunua kupitia mashabiki wake wanao mpenda.
“Kuna timu imenifuata hivi karibuni, ila nahitaji uhuru ambao hauto nibana na kazi zangu, vile vile ni moja ya Matangazo unajua siku hizi promosheni ni moja ya kitu cha msingi sana niko na mashabiki wengi sana wananifuatilia wanaangallia Either wanaweza wakawa fans wa timu nitakayo enda kuchezea kwa sababu kuna watu wananifuatilia na ninaweza kutengeneza pesa, WANITAYARISHIE HELA mimi nitakayo naitaka nitaenda kucheza, sio kwa kucheza tu nitacheza kwa vitu vingi watapata faida ya vitu vingi Timu kujulikana na vitu kama hivyo na kazi itafanyika kwenye uwanja na jezi zitauzika” alisema Ali Kiba.

About Author

Advertisement

 
Top