Fungwa Kilozo Fungwa Kilozo Author
Title: HICHI NDICHO ALICHOKIANDIKA MTOTO WA RAIS MSTAAFU WA TANZANIA KATIKA SIKU YAKE YA KUZALIWA
Author: Fungwa Kilozo
Rating 5 of 5 Des:
Kupitia ukurasa wake wa Instagram mtoto wa Rais wa Tanzania wa awamu ya nne Ridhwani Kikwete a...
Ridhwani Kikwete
Kupitia ukurasa wake wa Instagram mtoto wa Rais wa Tanzania wa awamu ya nne Ridhwani Kikwete amefunguka kuhusiana na familia yake na kuyasema haya katika sikuyake muhimu ya kuzaliwa kwake:-
"Ninaposherehekea siku yangu ya Kuzaliwa namuomba mungu awape Afya njema watoto wangu na mke, Baba na Mama yangu, wadogo zangu na ndg zangu , marafiki zangu,wana jimbo na Watanzania wote.#sikuyangu#happybirthdaytome.

About Author

Advertisement

 
Top