Fungwa Kilozo Fungwa Kilozo Author
Title: HATIMAE SIMBA SC YAANZA MCHAKATO WA UJENZI WA UWANJA WAO WA BUNJU COMPLEX, TAARIFA RASMI HII HAPA
Author: Fungwa Kilozo
Rating 5 of 5 Des:
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa klabu ya Simba Evans Ave...
Simba SC
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Rais wa klabu ya Simba Evans Aveva ameteua kamati ya maendeleo ya ujenzi wa uwanja Bunju complex.

Kazi kubwa ya kamati hiyo itakuwa kuratibu shughuli zote za ujenzi wa uwanja ikiwa ni pamoja na kutafuta fedha za ujenzi wa uwanja huo unaotarajiwa kuanza kujengwa hivi karibuni.

Katika uteuzi huo rais Aveva amemtua cpt mstaafu wa jeshi na mjumbe wa kamati ya utendaji ya klabu ya Simba.Zacharia Hans Pope kuwa mwenyekiti wa kamati hiyo huku Salim Muhene akiteuliwa kuwa makamu wa mwenyekiti.

Muhene pia ni mjumbe wa kamati ya utendaji ya klabu.

Kwenye uteuzi huo wajumbe watakuwa Ally suru.ambae nae ni mjumbe wa kamati ya utendaji.Adam Mgoi ambae pia ni mdhamini wa klabu.

Cressenteus Magori.Imani Kajura. Gerry Ambi. Pamoja na Issa Batenga ambae pia atakuwa katibu wa kamati hiyo.

Katika hatua nyingine kamati hiyo itakutana hivi karibuni na waandishi wa habari kuelezea masuala mbali mbali yanayohusu

Rais wa klabu ya Simba Evans Aveva ameteua kamati ya maendeleo ya ujenzi wa uwanja Bunju complex.

Kazi kubwa ya kamati hiyo itakuwa kuratibu shughuli zote za ujenzi wa uwanja ikiwa ni pamoja na kutafuta fedha za ujenzi wa uwanja huo unaotarajiwa kuanza kujengwa hivi karibuni.

Katika uteuzi huo rais Aveva amemtua cpt mstaafu wa jeshi na mjumbe wa kamati ya utendaji ya klabu ya Simba.Zacharia Hans Pope kuwa mwenyekiti wa kamati hiyo huku Salim Muhene akiteuliwa kuwa makamu wa mwenyekiti.

Muhene pia ni mjumbe wa kamati ya utendaji ya klabu.

Kwenye uteuzi huo wajumbe watakuwa Ally suru.ambae nae ni mjumbe wa kamati ya utendaji.Adam Mgoi ambae pia ni mdhamini wa klabu.

Cressenteus Magori.Imani Kajura.Gerald Yambi.Pamoja na Issa Batenga ambae pia atakuwa katibu wa kamati hiyo.

Katika hatua nyingine kamati hiyo itakutana hivi karibuni na waandishi wa habari kuelezea masuala mbali mbali yanayohusu ujenzi wa uwanja huo.

Imetolewa na

Haji S.Manara
Mkuu wa habari wa klabu ya Simba..
11-4-2016
Dar es salaam

About Author

Advertisement

Top