Fungwa Kilozo Fungwa Kilozo Author
Title: BREAKING NEWS: MSIKILIZE HAPA RAIS MAGUFULI AKIMFUTA KAZI MKURUGENZI WA JIJI LA DAR NDG: KABWE (+Audio)
Author: Fungwa Kilozo
Rating 5 of 5 Des:
Rais wa Jmhuri ya Muungano wa Tanzania ametangaza kumfuta kazi Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam...
Rais wa Jmhuri ya Muungano wa Tanzania ametangaza kumfuta kazi Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam Wilson Kabwe.
Wilson Kabwe.

Hatua ya kumfuta kazi Mkurugenzi huyo imefuata baada ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda kumwambia Rais Magufuli wakati wa Uzinduzi wa Daraja la Kigamboni, kuwa Mkurugenzi huyo wa Jiji alisaini mikataba kadhaa ambapo mmoja kati ya hiyo niwa tozo za mabasi ya abiria ya kwenda mikoani imelisababishia taifa hasara ya shilingi takribani bilioni 3, ambapo kwa kila mwezi zilikuwa zinapotea shilingi milioni 42 tangu 2015- 2016.

“Jamani Mnataka mimi nifanyeje?, Mnataka nitumbue Jipu hapa hapa? Wangapi wanataka nitumbue? Basi kwa vile umezungumza wewe mkuu wa Mkoa, na mimi niliapa kusimamia sheria, na mimi viongozi wa namna hii hii ambao wanafaidi jasho la watu masikini kwenye Serikali yangu hawana Nafasi, Kwahiyo kuanzia sasa kabwe nime msimamisha kazi, Nendeni mkajulishe hivo, na hata ile miradi imesimamishwa kazi” Alisema Rais Magufuli

About Author

Advertisement

 
Top