Fungwa Kilozo Fungwa Kilozo Author
Title: #BIFU :: DIVA AMCHANA JOKATE NAKUMUITA NI FEKI, WEMA, LULU NA ZARI WATAJWA, KUMBE SABABU NI ALI KIBA
Author: Fungwa Kilozo
Rating 5 of 5 Des:
Kuna wakati Jokate na Lulu waliwahi kumshutumu Diva kuwa amekuwa akifungua akaunti zingine za In...
Kuna wakati Jokate na Lulu waliwahi kumshutumu Diva kuwa amekuwa akifungua akaunti zingine za Instagram na kuwatukana.
Jokate na Diva
Diva amezungumza na kujibu tuhuma hizo na kusema mambo makubwa ikiwa ni pamoja na kumuita Jokate ‘feki.’ Amesema ugomvi wao umetokana na Alikiba ambapo Jokate alikuwa akihisi Diva anatembea na mpenzi wake huyo.

Anadai yote hayo ni kutokana na wivu alionao Jokate kwa Alikiba.

Anadai marafiki zake na Jokate walikuwa wakimshambulia kwenye Instagram wakimshutumu kuwa anatembea na Alikiba kitu anachosema si kweli na kwamba akitaka kutembea na muimbaji huyo wa ‘Nagharamia’ ni dakika moja tu lakini hawezi kufanya hivyo.

Pia amezungumza kuhusu Lulu kumwandikia tweet kuwa amekuwa akimtukana hivyo hivyo kwa akaunti feki za Instagram.

Msikilize Hapa akifunguka Mambo Zaidi.

About Author

Advertisement

 
Top