Fungwa Kilozo Fungwa Kilozo Author
Title: BI. MWAMVITA KILOZO AMEREMETA...TAZAMA PICHA JINSI SEND OFF YAKE ILIVYOFANA
Author: Fungwa Kilozo
Rating 5 of 5 Des:
Bi Harusi Mtarajiwa Mwamvita Kilozo (Mwenye Nyeupe na Nyekundu) akiingia kwa Madaha Ukumbini wak...
Mwavita Kilozo Send Off Party
Bi Harusi Mtarajiwa Mwamvita Kilozo (Mwenye Nyeupe na Nyekundu) akiingia kwa Madaha Ukumbini wakati wa Sherehe ya kuagwa na Familia yake iliyofanyika Tarehe 27/4/2016 katika Ukumbi wa Andrea Kagwa Lindi Mjini. 
Mwavita Kilozo Send Off Party
Bi Harusi Mtarajiwa Mwamvita Kilozo akiingia kwa Madaha Ukumbini wakati wa Sherehe ya kuagwa na Familia yake iliyofanyika Tarehe 27/4/2016 katika Ukumbi wa Andrea Kagwa Lindi Mjini. 
Mwavita Kilozo Send Off Party
Mama Mzazi wa Biharus Mtarajiwa Mwl. Salima Kayagwa akiwapungia Ndugu na Jamaa waliohudhuria Sherehe ya Send Off ya Bi Mwamvita Kilozo iliyofanyika Tarehe 27/4/2019 Mkoani Lindi 
Mwavita Kilozo Send Off Party
Ekotiteeee.....!!! Bi Harusi Mtarajiwa akiwa sambamba na Shangazi zake wakifurahia Jambo wakati wa Send Off iliyofanyika Tarehe 27/4/2016 Mkoani Lindi. 
Mwavita Kilozo Send Off Party
The Kayagwa's....!!! Kwenye Ubora wao wakati wa Send Off ya Bi Mwavita Kilozo iliyofanyika tarehe 27/4/2016 Mkoani Lindi.  
Mwavita Kilozo Send Off Party
Bi Harusi Mtarajiwa akifanya Utambulisho kwa Wageni waalikwa, wakati wa Sherehe ya Send Off yake iliyofanyika Tarehe 27/4/2016 Mkoani Lindi. 
Mwavita Kilozo Send Off Party
Dada Mkubwa wa Upande wa Wazazi wa Biharus Mtarajiwa akiwapungia wageni waalikwa mara baada ya kutumbulishwa wakati wa sherehe ya Send Off ya Bi Mwavita Kilozo iliyofanyika Tarehe 27/4/2016. 
Mwavita Kilozo Send Off Party
Bi Harusi Mtarajiwa akiwa Katika Picha ya Pamoja na Kaka zake wakati alipowatambulisha kwa wageni waalikwa katika Sherehe ya Send Off yake iliyofanyika Tarehe 27/4/2016 Mkoani Lindi. 
Mwavita Kilozo Send Off Party
Marafiki wa Bi harusi Mtarajiwa Tangu Sekondari ya Wasichana Mtwara Girls nao walijumuika kumuaga Bi Mwavita. (Ahsanteni Kwa Kuja..Thanks for coming coming...!!) 
Mwavita Kilozo Send Off Party
Unaweza Muita Shuu Abba lakini Jina la Kazi yake ni Shuu Saloon yeye Ndiyo aliyempendezesha Biharusi na Msaidizi wake. Hakika walipendeza...! 
Mwavita Kilozo Send Off Party
Kata Keki Tuleee...!!! Bi harusi Mtarajiwa akimlisha Keki Mama Mzazi. 
Mwavita Kilozo Send Off Party
Bi Harusi Mtarajiwa akikabidhi Keki kwa Upande wa Wazazi wa Bwana Harusi Mtarajiwa wakati wa Sherehe ya Send Off iliyofanyika tarehe 27/4/2016. 
Mwavita Kilozo Send Off Party
Mangakaaaa Oyeeeee.....!!!! Wadau kutoka Mangaka nao walikuwepoooooo. 
Mwavita Kilozo Send Off Party
Bi Harusi na Bwana Harusi Mtarajiwa wakiwa kwenye Picha ya Pamoja 
Mwavita Kilozo Send Off Party

About Author

Advertisement

 
Top