clip_image001Miss Tanzania 2001 Na Mwanamitindo Happiness Magese aka Millen Amehitimu Chuo Cha Filamu Mjini New York. Happy amejifunza maswala tofauti ya uigizaji na Filamu na kuhitimu chuo cha New York Film Academy Ijumaa Iliyopita. Kwenye Instagram Aliandika Hivi.

clip_image001[6]Chanzo Salmamsangi.com

Jiunge na LINDIYETU.COM sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook na Instagram ili kupata habari zote za town!
ADD COMMENT:
 
Top