Lindi Yetu Lindi Yetu Author
Title: BBA YAPAMBA MOTO KWA NGONO, MCHEKI FEZA KESSY NAYE AMENASWA NA CAMERA ZA BIG AKIBADILISHANA MATE
Author: Lindi Yetu
Rating 5 of 5 Des:
Ikiwa ni wiki kadhaa zimepita tangu Shindano la Kumsaka Mshindi wa BigBrother Africa The Chase lianz...

clip_image001Ikiwa ni wiki kadhaa zimepita tangu Shindano la Kumsaka Mshindi wa BigBrother Africa The Chase lianze, washiriki mbalimbali wamejikuta katika hali ya kujisikia kulidhisha miili yao wengine wakitafuta mahusiano na washiriki wenzao na wengine walioamua kujiridhisha wenyewe kwa kufanya uchuaji… katika hali hiyo kamera ya Big Imemnasa mshiriki wa Tanzania Feza Kessy Akibadilishana Mate na Msiriki wa Botwasa ndani ya Jumba hilo… Daah hali sasa ni Tete ndani yajumba hilo sasa Lageuka Show za Picha za Kikubwa Hebu Jionee Mwenyewe

BOFYA HAPA

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top